Song: I Miss You
Album: Flowers II
Release Year: 2022
Artist: Rayvanny ft Zuchu
Album: Flowers II
Release Year: 2022
Artist: Rayvanny ft Zuchu
(Video credit: YouTube)
Listen to yourself the Mdundo in it. Follow through the lyrics and wait for it, you will get used to singing here and there.
"I Miss You" - Song Lyrics
Hivi Bado Una Hasira,
Bado Unanichukia,
Bado Una Kinyongo.
Moyo Wako Ulisha Zira,
Bado Unaninunia,
Hivi Bado Una Usongo.
Kusema Bora Tuachane
Ndo Kauli Inayoniuma Kila Nikikumbuka
Tusitafutane Sikujua
Narusha Jiwe Ndege Ukapeperuka.
Tusijuane Nlisema Kwa Hasira
Leo Ndo Najuta Usinitukane
Namba Yangu Nyingine Usije Futa.
Sipendi Tuchukiane,
Naugua Kila Nikikumbuka Zamani.
Sisemi Turudiane Najua Kwako Ni
Ngumu Haiwezekani...
Ila I Want To Know,
I Miss You. (I Miss You Baby)
I Miss You. (Ahhhhhahh)
I Miss You. (Nakukumbuka Weee)
I Miss You. (I Want To Know)
I Miss You. (Nakukumbuka Weee)
I Miss You. (Nakukubumka Baby)
I Miss You. (Oooooo Ioooo)
I Miss You. (Aiya Yaaah)
Aaaaaahhh. Aaahhhhh... Aaaahhhh.
Alisema Sele Gogo.
Penzi Ni Kama Mmea,
Hauchepui Muhogo.
Pale Pasipo Mbolea.
Vilikushinda Vidogo,
Hata Vya Kunitetea.
Vikaondoka Vifijo Nderemo Zikapotea.
Nia Ya Moyoni Mwangu,
Wewe Ulijaza Miba,
Nikupe Pole Mwenzangu
Pengo Lako Limezibwa.
We Endelea,
Na Wafuga Kucha Akina
Sidika Na Hudah.
Hiriki Uzile.
Oohh Ila Tambua Utamaliza
Bucha Twazidiana
Ukubwa Nyama Ileile.
Sipendi Tuchukiane,
Japo Najua Mungu Amenilinda Na Mengi.
Na sisemi Turudiane,
Hilo Tambua Mie Nilipovunja,
Sijengi Na Niliko Salama.
I Miss You. (Oohh Yeeah)
I Miss You. (We Niache)
I Miss You. (I'm Doing Just Fine)
I Miss You.
I Miss You. (I Don't Miss You No No)
I Miss You. (No No No No No No)
I Miss You. (Eehh Eehh)
I Miss You. (Aaahhh Aahh)
Aaaaaahhh...
I'm doing just fine
Wasafi
Credits to:Artist: Rayvanny ft Zuchu