Song: La La
Artist: Mimi Mars Ft Marioo
Release Year: 2022
Artist: Mimi Mars Ft Marioo
Release Year: 2022
(Video credit: YouTube)
Take your time listening to this wonderful song. Although most of the words are tough to understand, the mood is ooh, great. Listen to it for yourself, and don't forget to check out the lyrics below. You can read it and contribute to comprehending the meaning. Cheers 😉
"La La" - Song Lyrics
Ohhh lala
Ohhh lala
Show dem you a bigi boy
Waonyese sijiwezi kwako niko hoi
Kwenye seka ya mapenzi baby haupoi
You make me feel
Ohhh la la
Nichezeshe niwe goi goi
Nipeleke nirudishe niwe wako toy
Nielekeze niamrishe kwako sichomoi
You make me feel
Ohhh la la
Kwa bed michezo ya mito
Nakuita daddy nakuita papito
Tupo karibu sufuria na jiko
We kalamu me kwako mwandiko
Ding ding dong moyo wangu ding dong
Yani kwa kasi yadunda mapigo
I wanna sing you a song hear this song
I want to make this your favorite song
Ohhh la la
Ohhh la la
Baby come closer
Ohhh la la
Oh yeah oh yeah
Ukinigusaga goosebumps
Nakuaga kama nimepigwa na shoti
Ukinigusa ka moyo
Kunakuaga kama kumepigwa na shoti
Ulivyo mtuam kama chocolate
Nikilamba naimba
Ohhh la la
Wewe mzuri kama mdoli eti
Kila nikikuona naimba
Ohhh la la
Namwona simba kama yuko lindoni
Kule DM ntampiga nyundo
Na nyumbani naeka swimming pool
Si unapenda kuogelea
Wee mtoto kama mtanga
Manukato kama jini jini
Ohhh la la
Unanikosha hako kashanga
Sibanduki ushanipiga pini
Ohhh la la
Ding ding dong moyo
Wangu ding dong
Yani kwa kasi yadunda mapigo
I wanna sing you a song hear this song
I want to make this your favorite song
Ohhh la la
Ohhh la la
Baby come closer
Ohhh la la
Oh yeah oh yeah
Baby come closer
Ohhh la la
Ohhh la la
Baby come closer
Written & Performed by: Mimi Mars and Marioo Produced by: Gachi BAll rights reserved to Mdee Music