Tundaman X Harmonize - Badman - Lyrics & Music Video

Share:
Song: Badman
Artist: Tundaman X Harmonize
Album: Badman
Release Year: 2022
Genres: Bogo Flava


(Video credit: YouTube)

Take your time listening to this wonderful song. Although most of the words are tough to understand, the mood is ooh, great. Listen to it for yourself, and don't forget to check out the lyrics below. You can read it and contribute to comprehending the meaning.  Cheers 😉

"Badman" - Song Lyrics

MAFIA

mi sio mwaume wa panga
Wala sio mwanaume wa shoka
Ila Nina roho mbaya mpaka wachawi wanaogopa
Kwangu mke Bora anapatikana kimhoka
Shawahi fanya balaa mpaka shetani anaogopa
Nisha uwa Sana panya bila kutumia sumu
Nishatumiaga beseni kubebea majukumu
mwenzenu kumpiga boss kwangu sio kazi ngumu
mtoto wa miaka mi2 namvutisha ndumu
yani naogopwa Kama kelele za mwizi
Ukipanga kuniroga hujue unaroga chizi
kwenye bwawa la mamba mi napiga mbizi
Na nikifa siachi pengo naacha fizi
OYA MI MTUMBADI
WANANGU MI MTU MBAYA
OYA MI MTU MBADI
WANANGU MI MTU MBAYA
(khoo khooo khoo khooo khoo)
hata ukienda kwa mganga,
kutambika jina Lang atakujibu nishazikwa
wewe sio Mama tanga,Kisha niibuke na wangu,tunakula kitakacho pikwa
njia nilizo pita hazinaga mfano
mwenzako nimeshapita Hadi tundu la sindano
lengo kutimiza ndoto na sio mashindano
na ndomana nawasha Moto na Sina mfano
Sina tatizo na waliopanga kunikomoa
nawasalimu mliosema sita toboa
mtaani ngoma Zina heat mbaka zinaboa
Tena simbi Sana na smoke na kukohoa(khooo)
mi nikioo jitazame ujione
ukiweza ninacho fanya hebu fanya tuone
Either ufe upone Sina ziaka tatone
na ukijifanya unajua mi sitaki unione
sifa za tembo siku zote huaga mpole
ingawa Ana Siri nzito za Haristote lokole
Yani ukimuuzi Sana atakupa kidole
ikicheka kiuko kwa mkolole
OYA MI MTUMBADI
Yani wao nimeshaoza nishachanganyikiwa
WANANGU MI MTU MBAYA
ukijitusu kunichokoza utachangamkiwa
OYA MI MTUMBADI
hey eeh hey ehh hey eeh hey eeh eeeh eeh
WANANGU MI MTU MBAYA
hey eeh hey eeh hey eeeh (khoooo)
JESHI
mwenzenu kuku wa kafala situpi
nakula mbaka vibudu
(OYA MI MTUMBADI)
simwogopi mwanadamu mwenzangu
Mungu yu nasujudu
(Wangu mi MTU mbaya)
demu unaemwona nyota ukilala unamwota
wauni tushapiga uwa galagaza
siku umemwokota kakuona unasota
unampiga na picha na unamsambaza
f***k
(konde music for world,tundaman na bhakhresa)
theee mix killer

Credit lyric source : boomplay.com
Credits to:
Artist: Tundaman X Harmonize

Badman is a fantastic song by Harmonize x Tundaman.
Hot tunes can't be missed if you merely hear them; you have to pay special attention.
Full of pleasure and excitement, full of noises. Listen to this beat all the way to the finish and start mimicking the line.
Discover more on our blog to meet the available lyric of Harmonize songs.