Song: Kioo
Artist: Anjella X Harmonize
Album: Kioo
Release Year: 2022
Genres: Afropop & Afrofussion
Artist: Anjella X Harmonize
Album: Kioo
Release Year: 2022
Genres: Afropop & Afrofussion
(Video credit: YouTube)
Take your time listening to this wonderful sound of beautiful African lady.
Get the vibes of Kioo, "Mirror". Rumor has it " Mirror does not lie"
Listen to it for yourself, and don't forget to check out the lyrics below.
You can read it and contribute to comprehending the meaning. Cheers 😉
"Kioo" - Song Lyrics
Bboy beats
Konde boy call me number one
Bakhresa, ai (ei)
Anjella
Mmh
Na ikitokea umemuona mvute chini umwambie
Mwenzake me sijiwezi
Yeye ndio wakunifanya nikapona, mwana wa mwenzie
Haya maradhi ya mapenzi
Anaposhika akipaacha sipaoni
Sometimes I feel kaaniita peponi
Akija pangoni ulimi sikioni
She turn me on
Yalla, yalla
Yakh habibi me napenda raha
Huyu mtoto mashallah
Mashallah
Yalla, yalla
Yakh habibi me napenda raha
Huyu mtoto mashallah
Mashallah
Baby nataka kiwe kioo, kioo
Kioo, kioo
Kioo, kioo
Ukicheka me nitacheka nawe
Kioo, kioo
Kioo, kioo
Kioo, kioo
Ukinuna nitanuna nawe
Kiwe kioo, kioo
Kioo, kioo
Kioo, kioo
Ukicheka me nitacheka nawe
Kioo, kioo
Kioo, kioo
Kioo, kioo
Ukinuna nitanuna nawe
Uh
Beibe beibe beibe beibe
Mmh
Eh
Kwenye kivuli cha picha yangu
Nakuona wewe my boo yeah
You do me like I do, mmh
Tuwape maswali yasiyo na jibu
Tuwapunguze gubu, yeah
Tuzichore tattoo, mmh yeah
Yani nimeoza kwako chaka chaka
Kipa magoli kwako nanyaka nyaka
Chochea kuni moto tayari nishawaka
Mmh, yo
Ukizama unapagusa unapotaka
Swala la ufundi sina shaka
Ndani ya moyo nishakupa madaraka
Ih
Only you baby
Mwengine sidhani
Nimekuweka ndotoni
Nimekuvika kidani cha mapenzi
Yalla, yalla
Yakh habibi me napenda raha
Huyu mtoto mashallah
Mashallah
Yalla, yalla
Yakh habibi me napenda raha
Huyu mtoto mashallah
Mashallah
Mmh
Kioo, kioo
Kioo, kioo
Kioo, kioo
Ukinuna nitanuna nawe
Kioo, kioo
Kioo, kioo
Kioo, kioo
Ukicheka me nitacheka nawe
Kioo, kioo
Kioo, kioo
Kioo, kioo
Ukinuna nitanuna nawe
Kioo, kioo
Kioo, kioo
Kioo, kioo
Ukicheka me nitacheka nawe
Only you baby
Mwengine sidhani
Nimekuweka ndotoni
Nimekuvika kidani cha mapenzi